"Extravaganza" is a song by Sauti Sol, Sol Generation, Bensoul, Nviiri The Storyteller, Crystal Asige, Kaskazini, released in 2019 in the Pop genre. The song is 3:58 long and contains 82 lines and 309 words.
Lyrics
0:04Ayeee
0:06Rhumba imechamba
0:07Sauti Sol ina di area kumechacha
0:11Karibuni kwenye extravaganza
0:13Bensoul alipofika alifunika eeeh
0:18Wakaja na madrama
0:21Cinema zetu ni telenovela eeeh
0:24Wakasunda mizinga
0:27Hawakujua si tuko mavela iieeh
0:31Wakaita polisi
0:33Kumbe polisi pia ni shabiki eeeh
0:37Wakaficha msosi
0:39Wakatupata na dishi mezani
0:42Ayeee
0:43Rhumba imechamba
0:45Sauti Sol ina di area kumechacha
0:48Karibuni kwenye extravaganza
0:51Nviiri alipofika alifunika eeeh
0:56Walifunga milango
0:58Wakatupata tuko ndani nao
1:01Wakaita makanjo
1:04Kumbe ni sisi huwalipa salowowowo
1:08Wakazima mitambo
1:10Shabiki wakabaki kwenye dance floor
1:14Na iwe funzo kwao
1:17Tunaongoza wanafuata nyayo
1:19Ayeee
1:20Rhumba imechamba
1:22Sauti Sol ina di area kumechacha
1:25Karibuni kwenye extravaganza
1:28Crystal alipofika alifunika eeeh
1:33Wakaja na umati
1:35Wakageuka kuwa wafuasi
1:39Wakaja na majini
1:42Wakapata tushazama kwa dini
1:45Nywele za kifarasi
1:48Lakini si ni moto ya malkiasi
1:52Risasi mwendo kasi
1:54Dandia msiachwe na baaa
1:56Ayeee
1:58Rhumba imechamba
1:59Sauti Sol ina di area kumechacha
2:03Karibuni kwenye extravaganza
2:06Kaskazini alipofika alifunika eeeh
2:10Wakaenda kusini
2:13Wakajipata wako kaskazinieeh
2:16Wakaja na magigi
2:19Lakini si tukaja na muzikieeh
2:22Wowowo yeyeye
2:25Hata wazime taa tutazidi kuparty
2:28Wowowo yeyeye
2:31Hizi vitu hazitakangi utiaji
2:34Na wakiapisha tunaapisha
2:36Na wakifunika tunafunua
2:40Eeh wakianika tunaanua
2:43Na wakisafisha tunachafua
2:46Ayeee
2:48Rhumba imechamba
2:49Sauti Sol ina di area kumechacha
2:52Karibuni kwenye extravaganza
2:56Karibuni kwenye extravaganza
2:59Ayeee
3:00Rhumba imechamba
3:02Sauti Sol ina di area kumechacha
3:05Karibuni kwenye extravaganza
3:08Karibuni kwenye extravaganza
3:10I am looking for trouble trouble trouble
3:14Hapana rusha mawe kwa police station
3:17Kabla wacheki vela cheki situation
3:20Hapana shusha bendera kwa chifu
3:23I am looking for trouble trouble trouble
3:27Bibi ya wenyewe is a no go zone
3:30Kama ukute vitu piga protection
3:33Nairobi mwizi utageuzwa jivu
3:35I am looking for trouble trouble trouble
3:39Hapana rusha mawe kwa police station
3:42Kabla wacheki vela cheki situation
3:45Hapana shusha bendera kwa chifu
3:48I am looking for trouble trouble trouble
3:52Bibi ya wenyewe isno go zone
3:55Kama ukute vitu piga protection
3:58Nairobi mwizi utageuzwa jivu
Ayeee Rhumba imechamba Sauti Sol ina di area kumechacha Karibuni kwenye extravaganza Bensoul alipofika alifunika eeeh Wakaja na madrama Cinema zetu ni telenovela eeeh Wakasunda mizinga Hawakujua si tuko mavela iieeh Wakaita polisi Kumbe polisi pia ni shabiki eeeh Wakaficha msosi Wakatupata na dishi mezani Ayeee Rhumba imechamba Sauti Sol ina di area kumechacha Karibuni kwenye extravaganza Nviiri alipofika alifunika eeeh Walifunga milango Wakatupata tuko ndani nao Wakaita makanjo Kumbe ni sisi huwalipa salowowowo Wakazima mitambo Shabiki wakabaki kwenye dance floor Na iwe funzo kwao Tunaongoza wanafuata nyayo Ayeee Rhumba imechamba Sauti Sol ina di area kumechacha Karibuni kwenye extravaganza Crystal alipofika alifunika eeeh Wakaja na umati Wakageuka kuwa wafuasi Wakaja na majini Wakapata tushazama kwa dini Nywele za kifarasi Lakini si ni moto ya malkiasi Risasi mwendo kasi Dandia msiachwe na baaa Ayeee Rhumba imechamba Sauti Sol ina di area kumechacha Karibuni kwenye extravaganza Kaskazini alipofika alifunika eeeh Wakaenda kusini Wakajipata wako kaskazinieeh Wakaja na magigi Lakini si tukaja na muzikieeh Wowowo yeyeye Hata wazime taa tutazidi kuparty Wowowo yeyeye Hizi vitu hazitakangi utiaji Na wakiapisha tunaapisha Na wakifunika tunafunua Eeh wakianika tunaanua Na wakisafisha tunachafua Ayeee Rhumba imechamba Sauti Sol ina di area kumechacha Karibuni kwenye extravaganza Karibuni kwenye extravaganza Ayeee Rhumba imechamba Sauti Sol ina di area kumechacha Karibuni kwenye extravaganza Karibuni kwenye extravaganza I am looking for trouble trouble trouble Hapana rusha mawe kwa police station Kabla wacheki vela cheki situation Hapana shusha bendera kwa chifu I am looking for trouble trouble trouble Bibi ya wenyewe is a no go zone Kama ukute vitu piga protection Nairobi mwizi utageuzwa jivu I am looking for trouble trouble trouble Hapana rusha mawe kwa police station Kabla wacheki vela cheki situation Hapana shusha bendera kwa chifu I am looking for trouble trouble trouble Bibi ya wenyewe isno go zone Kama ukute vitu piga protection Nairobi mwizi utageuzwa jivu
Translation
Select a language to see the translated lyrics.