Song Lyrics Collection

Pombe Sigara

Nviiri The Storyteller
2019-06-253:21 minSynced lyrics

"Pombe Sigara" is a song by Nviiri The Storyteller, released in 2019 in the Pop genre. The song is 3:21 long and contains 48 lines and 194 words.

0:12Oh ooh pombe sigara sigara sigara
0:17Naweza wacha bila kung'ang'ana kung'ang'ana
0:22Lakini hawa wasichana
0:26Vile nawapenda
0:29Ni kama laana laana laana
0:34Oooh sol generation
0:38And that's how we tell aah aah aah
0:42Ooh Lord
0:45Naskia walevi huota na beer
0:50Lakini kuna siri nitawaibia leo
0:54See I'm not addicted to alcohol
0:58I'm not a victim not at all
1:01Yalimpata Samson
1:03Yakampata Solomon
1:06Situation hugeuka tricky
1:09Kila shimo napanda miti
1:11Contribution kwa team mafisi Karura
1:15Eeey situation hugeuka tricky
1:19Kwa hivyoo
1:22Msiniweke kamba kwa shingoo
1:27Pombe sigara
1:31Naweza wacha bila kung'ang'ana
1:36Lakini hawa wasichana
1:40Vile nawapenda aah
1:43Ni kama laana ah
1:58Somebody is cool and not fine
2:03Tell them that's how we tell a heart's gone down
2:08Eti alivunja shingo akalemewa
2:12Akatoa fimbo nje ya ndoa
2:14Na hivo ndivo alijichomea
2:19Eeey situation imekuwa tricky
2:22Kuna shimo alipanda miti
2:25Na hivi sasa ako Kamiti kwa jela
2:29Heey situation hugeuka tricky
2:33Kwa hivyoo
2:36Msiniweke kamba kwa shingo
2:41Pombe sigara ah
2:45Naweza wacha bila kung'ang'ana ah
2:50Lakini hawa wasichana
2:54Vile nawapenda
2:56Ni kama laana ah
3:00Oooh yeah yeah
3:02Pombe sigara ah
3:06Naweza wacha bila kung'ang'ana ah
3:11Lakini hawa wasichana maze
3:15Vile nawapenda
3:17Ni kama laana ah
3:21Oooh yeah yeahyeah
Oh ooh pombe sigara sigara sigara
Naweza wacha bila kung'ang'ana kung'ang'ana
Lakini hawa wasichana
Vile nawapenda
Ni kama laana laana laana
Oooh sol generation
And that's how we tell aah aah aah
Ooh Lord
Naskia walevi huota na beer
Lakini kuna siri nitawaibia leo
See I'm not addicted to alcohol
I'm not a victim not at all
Yalimpata Samson
Yakampata Solomon
Situation hugeuka tricky
Kila shimo napanda miti
Contribution kwa team mafisi Karura
Eeey situation hugeuka tricky
Kwa hivyoo
Msiniweke kamba kwa shingoo
Pombe sigara
Naweza wacha bila kung'ang'ana
Lakini hawa wasichana
Vile nawapenda aah
Ni kama laana ah
Somebody is cool and not fine
Tell them that's how we tell a heart's gone down
Eti alivunja shingo akalemewa
Akatoa fimbo nje ya ndoa
Na hivo ndivo alijichomea
Eeey situation imekuwa tricky
Kuna shimo alipanda miti
Na hivi sasa ako Kamiti kwa jela
Heey situation hugeuka tricky
Kwa hivyoo
Msiniweke kamba kwa shingo
Pombe sigara ah
Naweza wacha bila kung'ang'ana ah
Lakini hawa wasichana
Vile nawapenda
Ni kama laana ah
Oooh yeah yeah
Pombe sigara ah
Naweza wacha bila kung'ang'ana ah
Lakini hawa wasichana maze
Vile nawapenda
Ni kama laana ah
Oooh yeah yeahyeah
Pombe Sigara lyrics

Translation

Select a language to see the translated lyrics.